Nyashinski - KEBS

Advertisements
Swahili

KEBS

Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwa valia navy blue
Malaika inani show umeweka mapenzi juu
 
Rumours za mascandal za ulover na lady drama
Na ati statoe mahali ukona baby mama
Kwa mitandao kila siku ni story new
Bundles zako zikiisha utapitwa uspo renew
Kaa pedi niko chini ya waba, leo dredi zinafungwa juu
Naishi mahali juu kaa anga so daily na enjoy the view
Ukitaka kuona roho chafu
Shika doe kidogo uone vile utaboo watu
For 10 years hamkuwa mnajali mahali ninalala
Hii screw driver yangu ni shimo gani ina screw
Mtu mahali ameamua hatalala salama
Kabla ahakikishe ameambia watu nyash anajiduu
Staki kuona watu wakiku celeb rate
Role model na watoi wanaku imitate
Haumangi pekee yako tuna split hii plate
Au tuku trendishe vile tulifanya jimmy gait
Hii industry uko sure unataka fame?
Pengine ndio maana siblend in ju
Unaeza tell kuna vile mi na hao hatuko same
Mi si ng'ombe yako ya gredi du!
 
Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwa valia navy blue
Malaika inani show umeweka mapenzi juu
 
KEBS!
Standard ya quality sisi hapa
KEBS!
Hii ndio standard ya quality hii xxxx
KEBS!
Ha ha ha ha ha ha
KEBS!
 
Nawaskia mkiongea naamua kukaa kimya
Naona far kaa twiga au kaa mjinga
Ama bouncer au napima, wazimu nawazima
Kwa simu nna ya sima ya mchuzi ndio sina
You can't believe all this bullshit you're reading
You can't be really considering singing
Big fat cheque for Nyashinski though
Ata ka Mungu pekee haikuwa na video
Ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show
Naskia kwenda mainterview anaitisha milioni
You can't believe all this bullshit you're reading
You can't be, you can't be, you can't be serious
You can be anything you wanna be
A drug addict, you drug addict
Nyuma runda bado tu ni fantasy
List ni watu wawili, mi na king wa South C
Nikipenya mnapenya but your eyes can't see
Uko busy tu kwa group tu hating on me
Eti oh he has a big E-G-O
He refused to follow me on IG, am not voting
God bless you even before you sneeze
It's a free country, you can do as you please
Nikiamka Sunday nijipate on my knees
Ntakuwa nasema asante sio please
 
Umezoeshwa vibaya ndo hujiwezi
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwa valia navy blue
Malaika inani show umeweka mapenzi juu
 
Ndo yule wanayemsema yule
Jina lake wanamwita ego huyo
Kubali mziki umeenda shule
Na mashow si pia ndio hizo
Mziki nakupenda milele cha kututenganisha kifoo yea
 
Submitted by ulissescoroa on Thu, 12/07/2018 - 13:18
Thanks!thanked 2 times

 

Advertisements
Video
Comments